Ondokana na usumbufu wa ma-Excel. Dhibiti miradi ya viwanja na mashamba, fuatilia malipo ya kidogo kidogo ya wateja, toa risiti, mikataba, na dhibiti ugawaji wa hati (Title Deeds) sehemu moja.
Mchanganuo wa vipengele vya mfumo kulingana na aina ya kifurushi unachochagua kwa ajili ya kampuni yako.
Chagua kifurushi sahihi kulingana na ukubwa na uwezo wa kampuni yako ya viwanja
Vipengele utakavyopata:
Vipengele utakavyopata:
Sifa zote za Standard plus:
Tazama jinsi injini ya usimamizi inavyofanya kazi kwa urahisi wa hali ya juu
Uongozi unaweza kuona jumla ya mauzo ya viwanja, miradi mipya, madeni, na mzunguko wa fedha za ofisi kwa ujumla.
Onyesha ramani ya mradi na ubadili hali ya viwanja (Wazi/Vimeuzwa) kwa kubofya kidijitali moja kwa moja.
Fuatilia ratiba ya malipo ya kila mteja na toa proforma invoices na risiti rasmi za PDF papo hapo.
Wanunuzi wanaweza kuingia kwa akaunti zao kuona viwanja walivyochagua, historia ya malipo na salio linalodaiwa.